Home Music Beka Flavour – Kama Siwezi

Beka Flavour – Kama Siwezi [Lyrics]

26
Beka Flavour - Kama Siwezi

Beka Flavour – Kama Siwezi [Video Download].

Download

Beka Flavour – Kama Siwezi [Mp3 Download]

Tanzanian songwriter,  singer and performing artist Beka Flavour presents his latest new joint tagged ‘Kama Siwezi’.

Beka Flavour is a bongo flava artist based in Tanzania. He was previously a member of the celebrated Yamoto Band.

Lyrics 

[Intro]
Mhhh haa
Hehehe
Mhh
Haaaaa haaa

[Verse 1]
Kila siku huwa unaniniuliza moja swalii
Ivi lini itakuja kuwa vizurii
Maana kila siku ahadii alafu azitimii
Kukuforce we kupanda kwenye bajajii
Wakati level zako we ni Lamborghini
Nakushushaga hadhi nauzuri wako huendani

[Pre-Hook/Chorus]
Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa
Uenda kesho atanipatiaa
Japo kidogo kunigawiaa
Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa
Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloaa

[Hook/Chorus]
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha

[Verse 2]
Mmh
aaaha
iii
aaaha
Subira rafiki yake matumaini
Ukichanganya na salaa
Sivema kujilaumu kuwa na mimi
Eti kwasababu fukaraa
Natena we ndo nyongo kalia inii
Usinimwage kabwelaa
Penzi langu limeota mizizii chinii
Kungwooka haiwezi tenaa

[Pre-Hook/Chorus]
Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa
Uenda kesho atanipatiaa
Japo kidogo kunigawiaa
Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa
Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloaa

[Hook/Chorus]
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Kipato changu kwako hakikizi mahitaji
Ahe nami niko razi nidundulize kwako
Nivilete vichenchii ahee

[Outro]
Ipo siku ntakuvisha shela
Me na wewe twawagee ubachela
Nikupeleke kwa mkubwa fela ahee
Ipo siku moja ntakuvisha shela
Wewe na me wewe twawagee ubachela
Nikupeleke kwetu ifakara ahee

Beka Flavour - Kama Siwezi

More Related:

<