Home Music Meja Kunta – Kidimbwi

Meja Kunta – Kidimbwi [Lyrics]

372

Meja Kunta – Kidimbwi [Official Mp3 Audio].

Meja Kunta – Kidimbwi.

[Lyrics]

Sema aya wee, aya wee
Aya wee, aya wee
Aya wee, aya wee
Aya wee, aya wee

Naitwa mr misifa, nina sifa zangu mimi
Sifa ya kwanza nikipenda sisubiri
Mbili mshamba wa mapenzi boya kweli
Mpaka Kajala anajua

We mama utaniua mama
Na mdogo mdogo utanitoa roho
Nichinje mie
Na unavyocheza utanitoa roho

Bado haijatosha ongeza mpaka uone sijitambui
Nisahau mama na baba wote siwajui
Jamani Paula utaniua ma, wewe mama utanitoa roho
Nichinje mie, na unavyocheza utanitoa roho

Mie sio mshamba wa mapenzi kugombania mapenzi siwezi
Ya nini eeh,

—-
—-