Home Music Hech K – Nina Imani (Atajibu) Video Download

Hech K – Nina Imani (Atajibu) Video Download

76

Nina Imani (Atajibu) by Hech K [Official Music Video].

Hech K – Nina Imani (Atajibu) Mp3 Audio Download].

Lyrics

Verse 1

Everyday is a brand new day
Napiga goti naomba,
Kiamsha kunywa sina,
Kazi sina,shida kila konaaa
Shamba nimelima,
Mavuno akunaaa.
Sina laziada mimi,
Naweka imani yangu kwako

Mi nakuja mbele zakoo,
Mbele ee zako.
Jibu lako ndio nangoja daddy
Heiii x2

Chorus

Nina imaniii
Nina imanii
nina imanii
Iko siku mola atanikumbuka
Nina imaniii
Nina imaniii
Nina imaniii
Nawala sitakata tamaax2

Verse 3

Namtumainia Bwana eeeii
Nina imanii atajibu eeeeii
Najituliza kwako bwanaa ,
Niwee pekee
msahada wangu wakaribu,
Niwewe.
Sitachoka kuombaa ,
Sitachoka kuombaa mimiii
Sitajoka kuomba mimiii

Chorus

Nina imaniii
Nina imanii
nina imanii
Iko siku mola atanikumbuka
Nina imaniii
Nina imaniii
Nina imaniii
Nawala sitakata tamaax2

For marriage, family, love, job/promotion. Goodluck in your business/lottery, court cases, diseases and other Spells kindly call Kiwanga Doctors on +254 769404965; or CLICK HERE>>>> https://www.kiwangadoctors.com.

<