Home Music Nandy – Ahsante Magufuli

Nandy – Ahsante Magufuli [Lyrics]

279
Shock as it emerges that MAGUFULI died one week ago after doctors at Nairobi Hospital failed to resuscitate him but his handlers didn’t believe it – LOOK!

Nandy – Ahsante Magufuli [Video Download].

Nandy – Ahsante Magufuli [Mp3 Download]

Lyrics

Magufuli Quote!
” Mimi ni mtumishi wenu
Na nataka niwaambie ndugu zangu
Siku moja mtanikumbuka
Na mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya
Kwa sababu nimesacrifice maisha yangu
Kwa sababu ya waTanzania masikini”

Kwenye mapito ulitutetea
Na magumu uliturusha
Ya dunia mazito baba umetuacha natuelemea
Faraja yetu ilikuwa kwako, umeondoka tumeumia
Ya dunia mazito baba

Hata tulipokosea we hukuwa na hasira
Ulipigania wanyonge wote
Twaziona nyingi busara mengi ulitutendea
Umekuwa mfano bora

Wewe ni jembe (Jembe)
Wewe ni nguzo (Nguzo)
Mfano imara (Imara)
Twashukuru yeah

Wewe ni jembe (Jembe)
Wewe ni nguzo (Nguzo)
Mfano imara (Imara)
Twashukuru tutakukumbuka milele

Asante shujaa asante baba
Asante kwa yote
Asante shujaa asante baba
Asante kwa yote

Nyakati za shida wakati wa vita
Ulisimama tusiaibike
Walinena mabaya wakakupaka za ubaya
Ulipigana kwa ajilli yetu

Hata tulipokosea we hukuwa na hasira
Ulipigania wanyonge wote
Twazioana nyingi busara
Mengi ulitutendea, umekuwa mfano bora

Wewe ni jembe (Jembe)
Wewe ni nguzo (Nguzo)
Mfano imara (Imara)
Twashukuru yeah

Wewe ni jembe (Jembe)
Wewe ni nguzo (Nguzo)
Mfano imara (Imara)
Twashukuru tutakukumbuka milele

Asante,  asante baba
Asante kwa yote
Asante, asante kwa yote
Asante kwa yote

Ooh asante kapumzike
Tutakukumbuka, tutakukumbuka
Ooh asante, tutakukumbuka
Asante, tutakukumbuka

Oooh baba nenda salama
Nenda salama
Asante, tutakukumbuka