Home Music Otile Brown – Zaidi Yako

Otile Brown – Zaidi Yako [Lyrics]

71

Otile Brown – Zaidi Yako [Video Download].

Otile Brown – Zaidi Yako [Mp3 Download]

Lyrics

Nafumbua mboni mfumbe
Maana macho yananidanganya
Ama nimelewa pombe
Maana unapendeza kinyama

Hapa natoka na wewe
Na kama mbaya iwe lawama
Coz I want you–masela
Usinikatae mama sio sawaBaby the way you do.. dance
Mama nimesimama kidete
Fanya kama unaketi
Inama nichomekeBaby the way you do the belly dance
Mama nimesimama kidete
Fanya kama unaketi
Inama nichomeke

Zaidi yako wee, wee
Sitaki mwingine
Zaidi yako wee, wee

Mi naona wengi ila wewee

Sitaki mwingine, zaidi yako wee, wee

Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe

I see the way you smile mah
The way you move maah
The way you whine usione shy
Pandisha mizuka twende

Now do the coco, coco
Do the coco whine, coco
Sisi majo majo, jojo
Sisi majo majo, jojo

Now do the coco, coco
Do the coco whine, coco
Sisi majo majo, jojo
Sisi majo majo, jojoZaidi yako wee, wee
Sitaki mwingine
Zaidi yako wee, wee
Mi naona wengi ila weweeSitaki mwingine, zaidi yako wee, wee

Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe

Kata dimba, kata dimba fire
Kata dimba, kata dimba fire

Do you want your Business Article promoted on Kenyanmusic.co.ke & its affiliated sites? We receive over 1.5 million pageviews monthly, let us market your business for you. To communicate with us kindly send us an email to kenyanlyrics.co.ke@gmail.com or call us on +254705550906

<