Home Music Dauce Mason – Nasubiri

Dauce Mason – Nasubiri [Lyrics]

13

Nasubiri by Dauce Mason [Official Music Video].

LYRICS

VERSE 1

“Kile kibali ulichonipa ukingoni majuto,
Leo majibu umenisusa ya dunia mapito,
Fundo la mate ni maumivu wapi nipapase majivu,
Hunie..oh!Darlie angalau.

BRIDGE

Kiatu chako kikubwa mama ungesem
a ningesepa,
Yamenizi makubwa sana
sura yako sitoifuta,×2

CHORUS

Bado NASUBIRI-Uwepo wako kwangu me
Bado sura inanijia,
Bado NASUBIRI-
Me kwako sichomoi aka siwezi kulala.×2.

VERSE NO 2

“Pasua jicho mwezi andama,
Ni kweli wapo sikuwaona,
Si ndo wewe heri mashua izame ufe usinikose ulisema,
Sasa narindima usingizi kwako usiku mwema,
Moja mbili sifuri ushanichimbia kaburi,
Na penzi umelinyoa kigwenzi ukalizika mazima,

BRIDGE

Kiatu chako kikubwa mama ungesem
a ningesepa,
Yamenizi makubwa sana
sura yako sitoifuta,×2

CHORUS

Bado NASUBIRI-Uwepo wako kwangu me
Bado sura inanijia,
Bado NASUBIRI-
Me kwako sichomoi aka siwezi kulala.×2.

For marriage, family, love, job/promotion. Goodluck in your business/lottery, court cases, diseases and other Spells kindly call Kiwanga Doctors on +254 769404965; or CLICK HERE>>>> https://www.kiwangadoctors.com.

<