Home Music Nandy Ft Koffi Olomide – Leo Leo

Nandy Ft Koffi Olomide – Leo Leo [Lyrics]

146

Nandy Featuring Koffi Olomide – Leo Leo [Official Music Video].

 

Nandy Ft Koffi Olomide – Leo Leo [Official Video Download].

Nandy – Leo Leo Ft Koffi olomide Lyrics

Boss ya mboka
Papa raki lifana
Paparapa
Ale dance enjoy

My sweet koko penzi kidani nitunzie nakesha popo
Kulinda vidanga visibie eee Nadeka mwali
Konkoko nidekeze mie konkoko
Ni wa halali chanda chema mieee

Mapenzi ya moyoni mwangu joto baridi
Yanapeta kwenye hali kaidi
Ndo maana, acha mtori nikupe nyama
Nikupe nyama
Na kuniumizaga wala mie sizimi
We nipende nidekeze, my G
Ndo maana, cheat-y kidogo nikupe laana
Nikupe laana

Oh my, ona ukinigusa navyo feel shy
Wa utamu na mizuka ya mapenzi haya
Ona weh haya haya haya haya
Oh my, tena usijaribu mi nita-die
Kunichezea kuniacha hio kitu mbaya

Ona weh haya haya haya haya
See I got all the eyes for you
And I wanna put my hands on you
Me I gonna do anything back to you
But I can’t do anything bad for you

Oh my, ona ukinigusa navyo feel shy
Wa utamu na mizuka ya mapenzi haya
Ona weh haya haya haya haya
Oh my, tena usijaribu mi nita-die
Kunichezea kuniacha hio kitu mbaya
Ona weh haya haya haya haya

More Lyrics