Home Music Lava Lava – Komesha

Lava Lava – Komesha [Lyrics]

61

Lava Lava – Komesha [Video Download].

Lava Lava – Komesha [Mp3 Download].

Lyrics

Sitojifanya maproso
Kaja kukudanganya, kakumbuka before
Nitakupenda mpaka useme po
Kwako nitang’ang’ana
I will never let you go

Mtegoni nimenasa kanda bwi kwa ukuta
Believe me I don’t lie (I don’t lie)
Nishaachana sa nimeweka nukta
I’m ready to fly (I’m ready to fly with you baby)

Mengi yatasemwa kwamba mimi ni player
Wanapenda tukigombana eti nakuchezea
Roho zao waumwe tumebaki kidedea
Twende tukiongozana, wawili kama pair

 

Vunja kabati, vunja kabati
Vaa pendeza, nogesha tutoke
Baby vunja kabati ooh
Komesha komesha Aristote

Fanya unajipinda, pinda kata
Mgongo pinda pinda kata
Fanya unajipinda, pinda kata
Mgongo pinda pinda kata!

Yeyeye nishatafuta location, twende vacation
Tujichimbie kiaina
Tuposti makopa caption
Visimango passion, tukomeshe kina daina

You give temptation, mwendo wako motion
Kijungu kabla China
Unapendeza bila fashion, you are my perfection
Wala hauhitaji designer

Sasa go down cheza jeje (Jeje)
Nyonge legeza lege (Jeje)
Kiuno nifinyie kwa tege (Jeje)
Nichanganyie rojo la zege (Jeje)

Mengi yatasemwa kwamba mimi ni player
Wanapenda tukigombana eti nakuchezea
Roho zao waumwe tumebaki kidedea
Twende tukiongozana, wawili kama pair

Vunja kabati, vunja kabati
Vaa pendeza, nogesha tutoke
Baby vunja kabati ooh
Komesha komesha Aristote

Fanya unajipinda, pinda kata
Mgongo pinda pinda kata
Fanya unajipinda, pinda kata
Mgongo pinda pinda kata!

The Mix Killer (Abbah)