Home Music Gody Tennor – Ni Mbaya

Gody Tennor – Ni Mbaya [Official Music Video]

7

NiMbaya by Gody Tennor [Mp3 Download].

Gody Tennor – Ni Mbaya [Video Download].

Lyrics

Ni gody tennor nimekuja na ubaya
Navenye ngoma zinachezwa Kama Choir
Mahater chwarachwara si itabidi wamegwaya
Nina bars mingi buda unaeza kani hire

Ni mbaya ni mbaya,ady waseme retire
Ni mbaya ni mbaya,ngoma bado joh ni fire
Ni mbaya ni mbaya,tumepullop na ubaya
Na venye mi natesa kuwakunywa kaa kahawa
Intro

Verse 1
Mtaa yako natambulika kabisa
Zidi kuhate mi nazidi kuchachisha
Cash kid bingwa ndio jina
After this macollabo kama tisa

Gody Tennor nachachisha kimangotto
Madiva wanalilia tu ma mboto
Nmekula jackport na si lotto
Na ukumbuke mi spendagi msoto

Mi mrazi Sipendagi watiaji
Kama kawa silalishangi uradi
Tuko locked tumelewa na wanati
Ni kubad ndenga zimejaa risasi

Dondoa dondoa aaii toa
Msupa na mandom amekam kunichoma
Nakapiga munju ady anashikwa na homa
Kumbe bado kako shule kanasoma

(Chorus)
Verse 2
Mi ndo bazenga ule wakusafisha
House party utanipata nashikisha
Jina kapu massive walinivisha
Nawatesa ady wanawika wika

One man army mi ndo killer
Sina mbogi lakn nawavinda
Juu ya mbichwa mi hukuaga kininja
Nawateka na Maganji apana lugha

Ni kubaya utadhani mi ni omollo
Flow zangu zinabamba ady mokoro
Mi ndo niko na kiboko ya wasoro
Shika cam ebu piga foto moto

Staki lawama, mimi ndo master
Napenda sana,mkinitaja
Mi ndo kinara, kwa hii darasa
Wewe ni dunder, na unapenda marasa

(Pre chorus)

( Chorus)
Verse 3
Mchinku jooh mi napenda mapaka
Mali safi mi spendagi vichaka
Mavidosho kaa wasaba wananitaka
Zikipanda nateka adi mapacha

Buda boss usijaribu kubishana
Na mistari zako ni kama za learner
Si uwongo napenda wasichana
Na staki mascandal bana..

Sitambui za waraZi
Kunichunguza kama ma paparazzi
Mi ni gangster na napenda kuparty
Mashashola nmejipin ka 30

Kaa ni mbya ni mbaya
Na this time nimekam na ubaya
Tumewasha kuwachoma na mafire
Nmekill nmemada na ni mbaya

 


For marriage, family, love, job/promotion. Goodluck in your business/lottery, court cases, diseases and other Spells kindly call Kiwanga Doctors on +254 769404965; or CLICK HERE>>>> https://www.kiwangadoctors.com.

<