Home Music GoCeZ – One Day

GoCeZ – One Day [Official Music Video]

2

One Day by GoCeZ [Official Video Download].

GoCeZ – One Day [Mp3 Audio Download].

One Day Lyrics by Gocez

Ah ‘GOCEZ,
Mmh – mmh mmh – mmh mmh – mmh mmh.
Ah!

Ingawa shida ni nyingi,
Nashindwa itakua aje,

Nazidi tu kuamini,
Namwita Mungu aje,

Mola habadili rangi,
Sifa zake nizitaje,

Aniinue toka chini,
Kimbilio kwako nije.

Ingawa kuna kuteleza,
Sio kianguka,

Ata aliyeanguka,
Aweza kuinuka,

Mambo kutonipendeza,
Namwamini Rabuka,

Asubuhi kurauka,
Nipate yamebadilika,

Huenda nikalia kesho nikacheka – ah,
Imani yangu pia inajengeka,
Anipe mema yale moyo unataka,
Naamini atabadilisha mambo ee Rabuka.

Uh
najua one day,
One day eih eih eih,
Najua one day,
Mambo
yatabadilika pap! x2

Mmh – mmh mmh – mmh mmh – mmh mmh,
Ah

Nimekosa yangu likizo,
Najikaza nijikaze,

Yale ya kesho ni mawazo,
Yawe zuri yasioze,

Anaweza ni tangazo,
Shida zetu aziweze,

Anayo nguvu na uwezo,
Atupe tusiteleze.

Yote duniani, bado naamini,

Shuku ni ya nini, ila siku gani,

Nyimbo maombini, ngazi toka chini,

Iwe shukurani, toka kwangu ndani.

Huenda nikalia kesho nikacheka – ah,
Imani yangu pia inajengeka,
Anipe mema yale moyo unataka – ah,
Naamini atabadilisha mambo ee Rabuka.

Uh
Najua one day,
One day eih eih eih,
Najua one day,
Mambo yatabadilika pap! x2

Najua one day, juu nipande,
It’s a good day, nitangaze,
Iwe anyday, niipende,
Ni kusifu day, ipendeze.

Mmh – mmh mmh – mmh mmh – mmh mmh
Ah

Najua one day,
One day eih eih eih,
Najua one day,
Mambo yatabadilika pap! x2

(Giddy Vibz)


For marriage, family, love, job/promotion. Goodluck in your business/lottery, court cases, diseases and other Spells kindly call Kiwanga Doctors on +254 769404965; or CLICK HERE>>>> https://www.kiwangadoctors.com.

<